Luka 22:67 - Swahili Revised Union Version67 Kama wewe ndiwe Kristo, tuambie. Akawaambia, Nikiwaambia, hamtasadikia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema67 Nao wakamwambia, “Tuambie! Je, wewe ndiwe Kristo?” Lakini Yesu akawaambia, “Hata kama nikiwaambieni, hamtasadiki; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND67 Nao wakamwambia, “Tuambie! Je, wewe ndiwe Kristo?” Lakini Yesu akawaambia, “Hata kama nikiwaambieni, hamtasadiki; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza67 Nao wakamwambia, “Tuambie! Je, wewe ndiwe Kristo?” Lakini Yesu akawaambia, “Hata kama nikiwaambieni, hamtasadiki; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu67 Wakamwambia, “Kama wewe ndiwe Al-Masihi, tuambie.” Isa akawajibu, “Hata nikiwaambia, hamtaamini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu67 Wakamwambia, “Kama wewe ndiwe Al-Masihi, tuambie.” Isa akawajibu, “Hata nikiwaambia hamtaamini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI67 Kama wewe ndiwe Kristo, tuambie. Akawaambia, Nikiwaambia, hamtasadiki. Tazama sura |