Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 22:1 - Swahili Revised Union Version

1 Ikakaribia sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo sikukuu ya Pasaka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo Pasaka, ilikuwa inakaribia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo Pasaka, ilikuwa inakaribia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo Pasaka, ilikuwa inakaribia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Wakati huu Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, iitwayo Pasaka, ilikuwa imekaribia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Wakati huu Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, iitwayo Pasaka, ilikuwa imekaribia.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Ikakaribia sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo sikukuu ya Pasaka.

Tazama sura Nakili

Luka 22:1
9 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA akanena na Musa na Haruni katika nchi ya Misri, akawaambia,

Katika siku ya kwanza ya mikate isiyochachwa, walipoichinja Pasaka, wanafunzi wake wakamwambia, Ni wapi utakapo tuende tukuandalie uile Pasaka?

Basi, kabla ya sikukuu ya Pasaka, Yesu, huku akijua ya kuwa saa yake imefika, atakayotoka katika ulimwengu kwenda kwa Baba, naye akiwa amewapenda watu wake katika ulimwengu, aliwapenda upeo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo