Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Luka 2:24 - Swahili Revised Union Version

24 wakatoe na sadaka, kama ilivyonenwa katika sheria ya Bwana, Hua wawili au makinda ya njiwa wawili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Pia walikwenda ili watoe sadaka: Hua wawili au makinda mawili ya njiwa, kama ilivyotakiwa katika sheria ya Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Pia walikwenda ili watoe sadaka: Hua wawili au makinda mawili ya njiwa, kama ilivyotakiwa katika sheria ya Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Pia walikwenda ili watoe sadaka: hua wawili au makinda mawili ya njiwa, kama ilivyotakiwa katika sheria ya Bwana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 na pia kutoa dhabihu kulingana na yale yaliyonenwa katika Torati ya Mwenyezi Mungu: “Hua wawili au makinda wawili wa njiwa”.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 na pia kutoa dhabihu kulingana na yale yaliyonenwa katika Torati ya Bwana Mwenyezi: “Hua wawili au makinda mawili ya njiwa.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

24 wakatoe na sadaka, kama ilivyonenwa katika sheria ya Bwana, Hua wawili au makinda ya njiwa wawili.

Tazama sura Nakili




Luka 2:24
5 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa matoleo yake atakayomtolea BWANA kuwa sadaka ya kuteketezwa, ni ya ndege, ndipo atakapoleta matoleo yake katika hua au katika makinda ya njiwa.


Nena na hao wana wa Israeli, uwaambie, Mwanamke akitunga mimba na kuzaa mtoto wa kiume, ndipo atakuwa najisi siku saba; kama katika siku za kutengwa kwake kwa ajili ya hedhi ndivyo atakavyokuwa najisi.


Lakini asipowaweza hua wawili, au makinda mawili ya njiwa, ndipo hapo atakapoleta matoleo yake kwa ajili ya neno hilo alilolikosa, sehemu ya kumi ya efa ya unga mwembamba, kuwa sadaka yake ya dhambi; asitie mafuta juu yake, wala ubani usitiwe juu yake; maana, ni sadaka ya dhambi.


Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo