Luka 2:23 - Swahili Revised Union Version23 (kama ilivyoandikwa katika sheria ya Bwana, Kila mtoto wa kiume aliye kifungua mimba wa mamaye na aitwe mtakatifu kwa Bwana), Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Katika sheria ya Bwana imeandikwa: “Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume atawekwa wakfu kwa Bwana.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Katika sheria ya Bwana imeandikwa: “Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume atawekwa wakfu kwa Bwana.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Katika sheria ya Bwana imeandikwa: “Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume atawekwa wakfu kwa Bwana.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 (kama ilivyoandikwa katika Torati ya Mwenyezi Mungu, kwamba, “Kila mtoto wa kiume kifungua mimba atawekwa wakfu kwa Mwenyezi Mungu”), Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 (kama ilivyoandikwa katika Torati ya Bwana Mwenyezi, kwamba, “Kila mtoto wa kiume kifungua mimba atawekwa wakfu kwa Bwana Mwenyezi Mungu”), Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 (kama ilivyoandikwa katika sheria ya Bwana, Kila mtoto wa kiume aliye kifungua mimba wa mamaye na aitwe mtakatifu kwa Bwana), Tazama sura |