Luka 18:38 - Swahili Revised Union Version38 Akapiga kelele, akisema, Yesu, Mwana wa Daudi, unirehemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Naye akapaza sauti akisema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Naye akapaza sauti akisema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Naye akapaza sauti akisema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Akapaza sauti, akasema, “Isa, Mwana wa Daudi, nihurumie!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Akapaza sauti, akasema, “Isa, Mwana wa Daudi, nihurumie!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI38 Akapiga kelele, akisema, Yesu, Mwana wa Daudi, unirehemu. Tazama sura |