Luka 18:24 - Swahili Revised Union Version24 Yesu alipoona vile alisema, Kwa shida gani wenye mali watauingia ufalme wa Mungu! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Yesu alipoona akihuzunika hivyo, akasema, “Jinsi gani ilivyo vigumu kwa matajiri kuingia katika ufalme wa Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Yesu alipoona akihuzunika hivyo, akasema, “Jinsi gani ilivyo vigumu kwa matajiri kuingia katika ufalme wa Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Yesu alipoona akihuzunika hivyo, akasema, “Jinsi gani ilivyo vigumu kwa matajiri kuingia katika ufalme wa Mungu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Isa akamtazama, akasema, “Tazama jinsi ilivyo vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Isa akamtazama, akasema, “Tazama jinsi ilivyo vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mwenyezi Mungu! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Yesu alipoona vile alisema, Kwa shida gani wenye mali watauingia ufalme wa Mungu! Tazama sura |