Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 18:2 - Swahili Revised Union Version

2 Akasema, Palikuwa na hakimu katika mji fulani, hamchi Mungu, wala hajali watu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Alisema: “Katika mji mmoja kulikuwa na hakimu ambaye hakuwa anamcha Mungu wala kumjali binadamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Alisema: “Katika mji mmoja kulikuwa na hakimu ambaye hakuwa anamcha Mungu wala kumjali binadamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Alisema: “Katika mji mmoja kulikuwa na hakimu ambaye hakuwa anamcha Mungu wala kumjali binadamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Akawaambia, “Katika mji mmoja palikuwa hakimu ambaye hakumwogopa Mungu wala kumjali mtu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Akawaambia, “Katika mji mmoja alikuwepo hakimu ambaye hakumwogopa Mwenyezi Mungu wala kumjali mtu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Akasema, Palikuwa na hakimu katika mji fulani, hamchi Mungu, wala hajali watu.

Tazama sura Nakili

Luka 18:2
14 Marejeleo ya Msalaba  

Mwenye haki huyaangalia madai ya maskini; Bali mtu mbaya hana ufahamu hata ayajue.

Njia kuu zimeachwa, msafiri ameikimbia barabara; ameyavunja maagano, ameidharau miji, hamjali mtu.

Na katika mji huo palikuwa na mwanamke mjane, aliyekuwa akimwendeaendea, akisema, Nipatie haki na adui wangu.

Naye kwa muda alikataa; halafu akasema moyoni mwake, Ijapokuwa simchi Mungu wala sijali watu,

Basi, bwana wa shamba la mizabibu alisema, Nifanyeje? Nitamtuma mwanangu, mpendwa wangu; yamkini watamheshimu yeye.

Na pamoja na hayo tulikuwa na baba zetu wa mwili walioturudi, nasi tukawaheshimu; basi si ni afadhali zaidi kujitia chini ya Baba wa roho zetu na kuishi?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo