Luka 18:10 - Swahili Revised Union Version10 Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali, mmoja Farisayo, wa pili mtoza ushuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 “Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali: Mmoja Mfarisayo, na mwingine mtozaushuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 “Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali: Mmoja Mfarisayo, na mwingine mtozaushuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 “Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali: mmoja Mfarisayo, na mwingine mtozaushuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 “Watu wawili walienda Hekaluni kusali, mmoja wao alikuwa Farisayo na mwingine alikuwa mtoza ushuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 “Watu wawili walikwenda Hekaluni kusali, mmoja wao alikuwa Farisayo na mwingine alikuwa mtoza ushuru. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali, mmoja Farisayo, wa pili mtoza ushuru. Tazama sura |