Luka 15:1 - Swahili Revised Union Version1 Basi watoza ushuru wote na wenye dhambi walikuwa wakimkaribia wamsikilize. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Siku moja, watozaushuru na wenye dhambi wengi walikwenda kumsikiliza Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Siku moja, watozaushuru na wenye dhambi wengi walikwenda kumsikiliza Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Siku moja, watozaushuru na wenye dhambi wengi walikwenda kumsikiliza Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Basi watoza ushuru na wenye dhambi wote walikuwa wanakusanyika ili wapate kumsikiliza Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Basi watoza ushuru na wenye dhambi wote walikuwa wanakusanyika ili wapate kumsikiliza Isa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Basi watoza ushuru wote na wenye dhambi walikuwa wakimkaribia wamsikilize. Tazama sura |