Luka 14:29 - Swahili Revised Union Version29 Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 La sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa kumaliza, watu watamcheka Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 La sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa kumaliza, watu watamcheka Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 La sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa kumaliza, watu watamcheka Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 La sivyo, baada ya kuweka msingi, naye akiwa hana uwezo wa kuikamilisha, wote waionao wataanza kumdhihaki, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 La sivyo, akiisha kuweka msingi, naye akiwa hana uwezo wa kuikamilisha, wote waionao wataanza kumdhihaki, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki, Tazama sura |