Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 14:25 - Swahili Revised Union Version

25 Makutano mengi walipokuwa wakifuatana naye, aligeuka, akawaambia,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na Yesu. Basi, akawageukia watu akawaambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na Yesu. Basi, akawageukia watu akawaambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na Yesu. Basi, akawageukia watu akawaambia,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Umati mkubwa wa watu walikuwa wakisafiri pamoja na Isa, naye akageuka, akawaambia,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Umati mkubwa wa watu ulikuwa ukisafiri pamoja na Isa, naye akageuka, akawaambia,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

25 Makutano mengi walipokuwa wakifuatana naye, aligeuka, akawaambia,

Tazama sura Nakili

Luka 14:25
4 Marejeleo ya Msalaba  

Wakati huo, makutano walipokutanika maelfu, hata wakakanyagana, alianza kuwaambia wanafunzi wake kwanza, Jilindeni na chachu ya Mafarisayo, ambayo ni unafiki.

Maana nawaambia ya kwamba katika wale walioalikwa, hakuna hata mmoja atakayeionja karamu yangu.

Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake wa kiume na wa kike; naam, na hata nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo