Luka 12:34 - Swahili Revised Union Version34 Kwa kuwa hazina yenu ilipo, ndipo itakapokuwapo na mioyo yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo moyo wako utakapokuwa pia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo moyo wako utakapokuwa pia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Kwa kuwa hazina yenu ilipo, ndipo itakapokuwapo na mioyo yenu. Tazama sura |