Luka 12:31 - Swahili Revised Union Version31 Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na hayo mtaongezewa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Shughulikeni kwanza juu ya ufalme wa Mungu, na hayo mtapewa kwa ziada. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Shughulikeni kwanza juu ya ufalme wa Mungu, na hayo mtapewa kwa ziada. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Shughulikeni kwanza juu ya ufalme wa Mungu, na hayo mtapewa kwa ziada. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na haya yote atawapa pia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Bali utafuteni Ufalme wa Mwenyezi Mungu, na haya yote atawapa pia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na hayo mtaongezewa. Tazama sura |