Luka 11:38 - Swahili Revised Union Version38 Farisayo huyo alipomwona, alistaajabu kwa sababu hakunawa kabla ya chakula. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Huyo Mfarisayo alistaajabu kuona kwamba alikula chakula bila kunawa kwanza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Huyo Mfarisayo alistaajabu kuona kwamba alikula chakula bila kunawa kwanza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Huyo Mfarisayo alistaajabu kuona kwamba alikula chakula bila kunawa kwanza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Yule Farisayo akashangaa kwamba Isa hakunawa kwanza kabla ya kula. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Yule Farisayo akashangaa kwamba Isa hakunawa kwanza kabla ya kula. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI38 Farisayo huyo alipomwona, alistaajabu kwa sababu hakunawa kabla ya chakula. Tazama sura |