Luka 1:62 - Swahili Revised Union Version62 Wakamwashiria babaye wajue atakavyo kumwita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema62 Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND62 Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza62 Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu62 Basi wakamfanyia Zakaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu62 Basi wakamfanyia Zekaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI62 Wakamwashiria babaye wajue atakavyo kumwita. Tazama sura |