Luka 1:23 - Swahili Revised Union Version23 Ikawa siku za huduma yake zilipokuwa zimetimia akaenda nyumbani kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Muda wake wa kuhudumu Hekaluni ulipomalizika, akarudi nyumbani mwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Muda wake wa kuhudumu Hekaluni ulipomalizika, akarudi nyumbani kwake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Ikawa siku za huduma yake zilipokuwa zimetimia akaenda nyumbani kwake. Tazama sura |