Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 5:7 - Swahili Revised Union Version

7 Msiwape watu tena majani ya kufanyia matofali, kama mlivyofanya tangu hapo; na waende wakatafute majani wenyewe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 “Tangu leo msiwape watu hawa nyasi za kutengenezea matofali kama ilivyo kawaida. Wao wenyewe watakwenda kujitafutia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 “Tangu leo msiwape watu hawa nyasi za kutengenezea matofali kama ilivyo kawaida. Wao wenyewe watakwenda kujitafutia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 “Tangu leo msiwape watu hawa nyasi za kutengenezea matofali kama ilivyo kawaida. Wao wenyewe watakwenda kujitafutia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 “Tangu sasa msiwape hawa watu nyasi za kutengenezea matofali; wakusanye nyasi zao wenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 “Tangu sasa msiwape hawa watu nyasi za kutengenezea matofali. Wao wakusanye nyasi zao wenyewe.

Tazama sura Nakili




Kutoka 5:7
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.


Tena akamwambia, Kwetu kuna majani na malisho ya kutosha, na mahali pa kukaa wageni.


Na siku ile ile Farao akawaamuru wasimamizi wa watu, na wanyapara wao, akisema,


Lakini hesabu ya matofali waliyokuwa wakifanya tokea hapo, wawekeeni iyo hiyo, msiipunguze hata kidogo, kwa maana ni wavivu hao; kwa hiyo wanapiga kelele, wakisema, Tupe ruhusa twende kumtolea Mungu wetu dhabihu.


Walakini nyasi tunazo, na chakula cha hawa punda wetu; mkate pia tunao na divai kwa mimi na huyu kijakazi wako, na kwa huyu kijana aliye pamoja nasi watumishi wako; hapana uhitaji wa kitu chochote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo