Kutoka 5:6 - Swahili Revised Union Version6 Na siku ile ile Farao akawaamuru wasimamizi wa watu, na wanyapara wao, akisema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Siku hiyohiyo Farao aliwaamuru wanyapara pamoja na wasimamizi, akasema, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Siku hiyohiyo Farao aliwaamuru wanyapara pamoja na wasimamizi, akasema, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Siku hiyohiyo Farao aliwaamuru wanyapara pamoja na wasimamizi, akasema, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Siku hiyo hiyo, Farao akatoa amri hii kwa viongozi wa watumwa na wasimamizi wa watu, akawaambia: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Siku iyo hiyo Farao akatoa amri hii kwa viongozi wa watumwa na wasimamizi wa watu akawaambia: Tazama sura |
Na Israeli wote pamoja na wazee, viongozi wao na waamuzi wao, wakasimama upande huu wa sanduku na upande huu, mbele ya makuhani Walawi, waliolichukua sanduku la Agano la BWANA, huyo aliyekuwa mgeni pamoja na huyo mzalia; nusu yao mbele ya mlima Gerizimu, na nusu yao mbele ya mlima Ebali, kama Musa, mtumishi wa BWANA, alivyoamuru hapo awali, ili wawabariki watu wa Israeli.