Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Kutoka 26:4 - Swahili Revised Union Version

4 Kisha utafanya tanzi za rangi ya samawati upande wa mwisho wa pazia moja katika ule upindo wa fungu lake, vivyo hivyo utafanya upande wa mwisho wa ile pazia iliyo, katika fungu la pili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Utashonea vitanzi vya buluu upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, hali kadhalika utashonea vitanzi mwishoni mwa pindo la nje la kipande kingine cha pazia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Utashonea vitanzi vya buluu upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, hali kadhalika utashonea vitanzi mwishoni mwa pindo la nje la kipande kingine cha pazia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Utashonea vitanzi vya buluu upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, hali kadhalika utashonea vitanzi mwishoni mwa pindo la nje la kipande kingine cha pazia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Tengeneza vitanzi vya kitambaa cha buluu kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu la kwanza, na ufanye vivyo hivyo na pazia la fungu la mwisho.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Tengeneza vitanzi vya kitambaa cha buluu kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu la kwanza, na ufanye vivyo hivyo na pazia la fungu la mwisho.

Tazama sura Nakili

Kutoka 26:4
5 Marejeleo ya Msalaba  

Mapazia matano yataungwa pamoja, hili na hili; na mapazia matano mengine yataungwa pamoja, hili na hili.

Fanya matanzi hamsini katika pazia moja, na matanzi hamsini katika upande wa mwisho wa ile pazia iliyo katika kuungana kwa pili; hizo tanzi zitaelekeana.

Kisha akafanya matanzi hamsini katika upindo wa pazia lililo upande wa nje katika kile kiungo, naye akafanya matanzi hamsini katika ncha ya pazia lililokuwa upande wa nje katika kiungo cha pili.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo