Kutoka 21:10 - Swahili Revised Union Version10 Akijitwalia mke mwingine, chakula chake huyo, na nguo zake, na ngono yake, hatampunguzia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ikiwa huyo mwana aliyeozwa mtumwa mwanamke ataoa mwanamke mwingine, ni lazima aendelee kumtosheleza huyo mke wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zote za ndoa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ikiwa huyo mwana aliyeozwa mtumwa mwanamke ataoa mwanamke mwingine, ni lazima aendelee kumtosheleza huyo mke wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zote za ndoa. Tazama sura |