Kutoka 21:9 - Swahili Revised Union Version9 Akimposa mwanawe, atamtendea kama desturi zipasazo binti zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kama ataamua kumwoza kwa mwanawe, atamtendea mtumwa huyo kama binti yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kama ataamua kumwoza kwa mwanawe, atamtendea mtumwa huyo kama binti yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kama ataamua kumwoza kwa mwanawe, atamtendea mtumwa huyo kama binti yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Akimchagua aolewe na mwanawe, ni lazima ampe haki za kuwa binti yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kama akimchagua aolewe na mwanawe, ni lazima ampe haki za kuwa binti yake. Tazama sura |