Kutoka 13:6 - Swahili Revised Union Version6 Mtakula mikate isiyochachwa muda wa siku saba, nayo siku ya saba itakuwa ni sikukuu ya BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kwa muda wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu, na mnamo siku ya saba mtafanya sikukuu kwa heshima ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kwa muda wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu, na mnamo siku ya saba mtafanya sikukuu kwa heshima ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kwa muda wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu, na mnamo siku ya saba mtafanya sikukuu kwa heshima ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kwa siku saba utakula mikate isiyotiwa chachu na katika siku ya saba utamfanyia Mwenyezi Mungu sikukuu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kwa siku saba utakula mikate isiyotiwa chachu na katika siku ya saba utamfanyia bwana sikukuu. Tazama sura |