Kutoka 1:6 - Swahili Revised Union Version6 Yusufu akafa, na ndugu zake wote, na watu wote wa kizazi kile. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Baadaye, Yosefu alifariki, hali kadhalika ndugu zake na kizazi kile chote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Baadaye, Yosefu alifariki, hali kadhalika ndugu zake na kizazi kile chote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Baadaye, Yosefu alifariki, hali kadhalika ndugu zake na kizazi kile chote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Basi Yusufu na kaka zake wote na kizazi kile chote walikufa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Basi Yusufu na kaka zake wote na kizazi kile chote walikufa, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Yusufu akafa, na ndugu zake wote, na watu wote wa kizazi kile. Tazama sura |