Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Kutoka 1:5 - Swahili Revised Union Version

5 Na wale watu wote waliotokana na uzao wa Yakobo walikuwa watu sabini; na huyo Yusufu alikuwa huko ndani ya Misri tangu hapo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Wazawa wote wa Yakobo walikuwa watu 70. Wakati huo Yosefu alikuwa amekwisha tangulia kukaa huko Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Wazawa wote wa Yakobo walikuwa watu 70. Wakati huo Yosefu alikuwa amekwisha tangulia kukaa huko Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Wazawa wote wa Yakobo walikuwa watu 70. Wakati huo Yosefu alikuwa amekwisha tangulia kukaa huko Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Wazao wote wa Yakobo walikuwa watu sabini; Yusufu alikuwa tayari yuko Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Wazao wote wa Yakobo walikuwa watu sabini; Yusufu alikuwa tayari yuko Misri.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Na wale watu wote waliotokana na uzao wa Yakobo walikuwa watu sabini; na huyo Yusufu alikuwa huko ndani ya Misri tangu hapo mwanzo.

Tazama sura Nakili

Kutoka 1:5
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yusufu Akakaa katika Misri, yeye na nyumba ya baba yake. Yusufu Akaishi miaka mia moja na kumi.

Basi Mungu akawatendea mema wale wakunga; na hao watu wakaongezeka sana, wakaendelea na kuzidi kuwa na nguvu nyingi.

na Dani, na Naftali, na Gadi, na Asheri.

Yusufu akatuma watu akamwita Yakobo babaye na jamaa zake wote pia, watu sabini na watano.

Baba zako walienda Misri wakiwa watu sabini; na sasa BWANA, Mungu wako, amekufanya kama nyota za mbinguni kwa wingi.

Gideoni alikuwa na wana sabini waliozawa na mwili wake; kwa maana alikuwa na wake wengi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo