Isaya 7:21 - Swahili Revised Union Version21 Katika siku hiyo itakuwa ya kwamba mtu atalisha ng'ombe jike mchanga na kondoo wawili wa kike; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Wakati huo, mtu atafuga ng'ombe mmoja mchanga na kondoo wawili; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Wakati huo, mtu atafuga ng'ombe mmoja mchanga na kondoo wawili; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Wakati huo, mtu atafuga ng'ombe mmoja mchanga na kondoo wawili; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Katika siku ile, mtu atahifadhi hai mtamba mmoja na kondoo wawili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Katika siku ile, mtu atahifadhi hai ndama mmoja na kondoo wawili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Katika siku hiyo itakuwa ya kwamba mtu atalisha ng'ombe jike mchanga na kondoo wawili wa kike; Tazama sura |