Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Isaya 66:7 - Swahili Revised Union Version

7 Kabla hajawa na uchungu alizaa; Kabla maumivu yake hayajampata, Alizaa mtoto wa kiume.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 “Mji wangu mtakatifu, ni kama mama ajifunguaye bila kuona uchungu; kabla uchungu kuanza, amekwisha zaa mtoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 “Mji wangu mtakatifu, ni kama mama ajifunguaye bila kuona uchungu; kabla uchungu kuanza, amekwisha zaa mtoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 “Mji wangu mtakatifu, ni kama mama ajifunguaye bila kuona uchungu; kabla uchungu kuanza, amekwisha zaa mtoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 “Kabla hajasikia uchungu, alizaa; kabla hajapata maumivu, alizaa mtoto wa kiume.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 “Kabla hajasikia utungu, alizaa; kabla hajapata maumivu, alizaa mtoto mwanaume.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Kabla hajawa na uchungu alizaa; Kabla maumivu yake hayajampata, Alizaa mtoto wa kiume.

Tazama sura Nakili

Isaya 66:7
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamwambia, Hezekia asema hivi, Siku hii ni siku ya dhiki, na aibu, na matukano; maana watoto wako tayari kuzaliwa, wala hapana nguvu za kuwazaa.

Imba, wewe uliye tasa, wewe usiyezaa; paza sauti yako kwa kuimba, piga kelele, wewe usiyekuwa na uchungu; maana watoto wake aliyeachwa ni wengi kuliko watoto wake yeye aliyeolewa, asema BWANA.

Mwanamke azaapo, ana huzuni kwa kuwa saa yake imefika; lakini akiisha kuzaa mwana, haikumbuki tena ile dhiki, kwa sababu ya furaha ya kuzaliwa mtu ulimwenguni.

Bali Yerusalemu wa juu ni muungwana, naye ndiye mama yetu sisi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo