Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Isaya 66:6 - Swahili Revised Union Version

6 Sauti ya fujo itokayo mjini! Sauti itokayo hekaluni! Sauti ya BWANA awalipaye adui zake adhabu!

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Sikilizeni, ghasia kutoka mjini, sauti kutoka hekaluni! Hiyo ni sauti ya Mwenyezi-Mungu akiwaadhibu maadui zake!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Sikilizeni, ghasia kutoka mjini, sauti kutoka hekaluni! Hiyo ni sauti ya Mwenyezi-Mungu akiwaadhibu maadui zake!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Sikilizeni, ghasia kutoka mjini, sauti kutoka hekaluni! Hiyo ni sauti ya Mwenyezi-Mungu akiwaadhibu maadui zake!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Sikieni hizo ghasia kutoka mjini, sikieni hizo kelele kutoka hekaluni! Ni sauti ya Mwenyezi Mungu ikiwalipa adui zake yote wanayostahili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Sikieni hizo ghasia kutoka mjini, sikieni hizo kelele kutoka hekaluni! Ni sauti ya bwana ikiwalipa adui zake yote wanayostahili.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 Sauti ya fujo itokayo mjini! Sauti itokayo hekaluni! Sauti ya BWANA awalipaye adui zake adhabu!

Tazama sura Nakili

Isaya 66:6
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana, tazama, BWANA anakuja kutoka mahali pake, ili kuwaadhibu wakaao duniani, kwa sababu ya uovu wao; ardhi nayo itafunua damu yake, wala haitawafunika tena watu wake waliouawa.

Maana ni siku ya kisasi cha BWANA, mwaka wa malipo, ili kushindania Sayuni.

Kadiri ya matendo yao, kwa kadiri iyo hiyo atawalipa, ukali kwao wampingao, malipo kwa adui zake; naye atavirudishia visiwa malipo.

Naye alisema, BWANA atanguruma toka Sayuni, Atatoa sauti yake toka Yerusalemu; Na malisho ya wachungaji yatakauka, Na kilele cha Karmeli kitanyauka.

Naye alikuwa ana mimba, akilia, akiwa na uchungu na kuumwa katika kuzaa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo