Isaya 59:3 - Swahili Revised Union Version3 Kwa maana mikono yenu imetiwa unajisi kwa damu, na vidole vyenu vimetiwa unajisi kwa uovu; midomo yenu imenena uongo, ndimi zenu zimenong'ona uovu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Maana mikono yenu imetiwa najisi kwa mauaji, na vidole vyenu kwa matendo maovu. Midomo yenu imesema uongo, na ndimi zenu husema uovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Maana mikono yenu imetiwa najisi kwa mauaji, na vidole vyenu kwa matendo maovu. Midomo yenu imesema uongo, na ndimi zenu husema uovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Maana mikono yenu imetiwa najisi kwa mauaji, na vidole vyenu kwa matendo maovu. Midomo yenu imesema uongo, na ndimi zenu husema uovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kwa maana mikono yenu imetiwa unajisi kwa damu, na vidole vyenu kwa hatia. Midomo yenu imenena uongo, nazo ndimi zenu zimenong’ona mambo maovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu na vidole vyenu kwa hatia. Midomo yenu imenena uongo, nazo ndimi zenu zimenong’ona mambo maovu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Kwa maana mikono yenu imetiwa unajisi kwa damu, na vidole vyenu vimetiwa unajisi kwa uovu; midomo yenu imenena uongo, ndimi zenu zimenong'ona uovu. Tazama sura |