Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Isaya 50:5 - Swahili Revised Union Version

5 Bwana MUNGU amenizibua sikio langu, wala sikuwa mkaidi, wala sikurudi nyuma.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Bwana Mungu amenifanya msikivu, nami sikuwa mkaidi wala kugeuka mbali naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Bwana Mungu amenifanya msikivu, nami sikuwa mkaidi wala kugeuka mbali naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Bwana Mungu amenifanya msikivu, nami sikuwa mkaidi wala kugeuka mbali naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Bwana Mungu Mwenyezi amezibua masikio yangu, nami sikuwa mwasi, wala sikurudi nyuma.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 bwana Mwenyezi amezibua masikio yangu, nami sikuwa mwasi, wala sikurudi nyuma.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Bwana MUNGU amenizibua sikio langu, wala sikuwa mkaidi, wala sikurudi nyuma.

Tazama sura Nakili




Isaya 50:5
13 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha hatutakuacha kwa kurudi nyuma; Utuhuishe nasi tutaliitia jina lako.


Ndipo macho ya vipofu yatafumbuliwa, na masikio ya viziwi yatazibuliwa.


Naam, hukusikia; naam, hukujua; naam, tokea zamani sikio lako halikuzibuka; maana nilijua ya kuwa wewe watenda kwa hila nyingi, nawe umeitwa mkosaji tangu kuzaliwa kwako;


Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniondokee; lakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.


Lakini ulimwengu ujue ya kuwa nampenda Baba; na kama vile Baba alivyoniamuru; ndivyo nifanyavyo. Ondokeni, twendeni zetu.


Mkizishika amri zangu, mtakaa katika pendo langu; kama vile mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake.


Naye aliyenituma yu pamoja nami, hakuniacha peke yangu; kwa sababu nafanya sikuzote yale yampendezayo.


Kwa hiyo, Ee Mfalme Agripa, sikuyaasi yale maono ya mbinguni,


BWANA akaniambia, Wametenda vema kusema walivyosema.


tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.


na, ingawa ni Mwana, alijifunza kutii kwa mateso hayo yaliyompata;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo