Isaya 47:10 - Swahili Revised Union Version10 Maana umeutumainia ubaya wako; umesema, Hapana anionaye; hekima yako, na maarifa yako yamekupotosha, nawe umesema moyoni mwako, Mimi ndiye, wala hapana mwingine zaidi yangu mimi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 “Ulijiona salama katika uovu wako; ukajisemea, ‘Hakuna mtu anayeniona.’ Hekima na elimu yako vilikupotosha, ukajisemea moyoni mwako, ‘Mimi ndiye; hakuna mwingine anayenishinda.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 “Ulijiona salama katika uovu wako; ukajisemea, ‘Hakuna mtu anayeniona.’ Hekima na elimu yako vilikupotosha, ukajisemea moyoni mwako, ‘Mimi ndiye; hakuna mwingine anayenishinda.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 “Ulijiona salama katika uovu wako; ukajisemea, ‘Hakuna mtu anayeniona.’ Hekima na elimu yako vilikupotosha, ukajisemea moyoni mwako, ‘Mimi ndiye; hakuna mwingine anayenishinda.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Umeutegemea uovu wako, nawe umesema, ‘Hakuna yeyote anionaye.’ Hekima yako na maarifa yako vinakupoteza unapojiambia mwenyewe, ‘Mimi ndiye, wala hakuna mwingine zaidi yangu.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Umeutegemea uovu wako, nawe umesema, ‘Hakuna yeyote anionaye.’ Hekima yako na maarifa yako vinakupoteza unapojiambia mwenyewe, ‘Mimi ndiye, wala hakuna mwingine zaidi yangu.’ Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Maana umeutumainia ubaya wako; umesema, Hapana anionaye; hekima yako, na maarifa yako yamekupotosha, nawe umesema moyoni mwako, Mimi ndiye, wala hapana mwingine zaidi yangu mimi. Tazama sura |