Isaya 44:6 - Swahili Revised Union Version6 BWANA, Mfalme wa Israeli, Mkombozi wako, BWANA wa majeshi, asema hivi; Mimi ni wa kwanza, na mimi ni wa mwisho; zaidi yangu mimi hapana Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mwenyezi-Mungu, Mfalme na Mkombozi wa Israeli, naam, Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Mimi ni wa kwanza na wa mwisho; hakuna Mungu mwingine ila mimi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mwenyezi-Mungu, Mfalme na Mkombozi wa Israeli, naam, Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Mimi ni wa kwanza na wa mwisho; hakuna Mungu mwingine ila mimi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mwenyezi-Mungu, Mfalme na Mkombozi wa Israeli, naam, Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Mimi ni wa kwanza na wa mwisho; hakuna Mungu mwingine ila mimi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 “Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Israeli na Mkombozi, Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni: Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho; zaidi yangu hakuna Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 “Hili ndilo asemalo bwana, Mfalme wa Israeli na Mkombozi, bwana Mwenye Nguvu Zote: Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho; zaidi yangu hakuna Mungu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 BWANA, Mfalme wa Israeli, Mkombozi wako, BWANA wa majeshi, asema hivi; Mimi ni wa kwanza, na mimi ni wa mwisho; zaidi yangu mimi hapana Mungu. Tazama sura |