Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Isaya 44:4 - Swahili Revised Union Version

4 nao watachipua kama nyasi, kama mierebi kandokando mwa vijito.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Watachipua kama nyasi penye maji mengi, kama majani kandokando ya vijito.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Watachipua kama nyasi penye maji mengi, kama majani kandokando ya vijito.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Watachipua kama nyasi penye maji mengi, kama majani kandokando ya vijito.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Nao watachipua kama nyasi katika shamba la majani, kama mierezi kando ya vijito vya maji yanayotiririka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Nao watachipua kama manyasi katika shamba la majani, kama mierezi kando ya vijito vya maji yatiririkayo.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 nao watachipua kama nyasi, kama mierezi kandokando mwa vijito.

Tazama sura Nakili




Isaya 44:4
13 Marejeleo ya Msalaba  

Hiyo miti yenye vivuli humfunika kwa vivuli vyao; Mierebi ya vijito humzunguka.


Tena utajua ya kwamba uzao wako utakuwa mwingi, Na uzao wako utakuwa kama nyasi za nchi.


Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa.


Tena wazao wako wangalikuwa kama mchanga, na hao waliotoka katika tumbo lako kama chembe zake; jina lake lisingalikatika, wala kufutwa mbele zangu.


Naye BWANA atakuongoza daima, ataishibisha nafsi yako mahali pasipokuwa na maji, na kuitia nguvu mifupa yako; nawe utakuwa kama bustani iliyotiwa maji, na kama chemchemi ambayo maji yake hayapungui.


Maana kama nchi itoavyo machipuko yake, na kama bustani ioteshavyo vitu vilivyopandwa ndani yake; ndivyo Bwana MUNGU atakavyootesha haki na sifa mbele ya mataifa yote.


Akatwaa tena mbegu katika mbegu za nchi hiyo, akaipanda katika udongo uzaao sana, akaiweka kando ya maji mengi; aliipandikiza kama mti ukuao karibu na mto.


Nanyi siku ya kwanza mtajipatia matunda ya miti mizuri, na makuti ya mitende, na matawi ya miti minene, na mierebi ya vijitoni; nanyi mtafurahi mbele za BWANA, Mungu wenu, muda wa siku saba.


Lakini wengi katika hao waliosikia lile neno waliamini; na hesabu ya wanaume ikawa kama elfu tano.


walioamini wakazidi kuongezeka kwa Bwana, wengi, wanaume na wanawake;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo