Isaya 43:8 - Swahili Revised Union Version8 Walete watu wasioona, japo wana macho, wasiosikia japo wana masikio. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Waleteni mbele watu hao, ambao wana macho lakini hawaoni wana masikio lakini hawasikii! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Waleteni mbele watu hao, ambao wana macho lakini hawaoni wana masikio lakini hawasikii! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Waleteni mbele watu hao, ambao wana macho lakini hawaoni wana masikio lakini hawasikii! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Uwaongoze wale wenye macho lakini hawaoni, wenye masikio lakini hawasikii. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Uwaongoze wale wenye macho lakini hawaoni, wenye masikio lakini hawasikii. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Walete watu wasioona, japo wana macho, wasiosikia japo wana masikio. Tazama sura |