Isaya 42:3 - Swahili Revised Union Version3 Mwanzi uliopondeka hatauvunja, wala utambi utokao moshi hatauzima; atatoa hukumu kwa uaminifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mwanzi uliochubuka hatauvunja, utambi ufukao moshi hatauzima; ataleta haki kwa uaminifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mwanzi uliochubuka hatauvunja, utambi ufukao moshi hatauzima; ataleta haki kwa uaminifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mwanzi uliochubuka hatauvunja, utambi ufukao moshi hatauzima; ataleta haki kwa uaminifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mwanzi uliopondeka hatauvunja, na utambi unaofuka moshi hatauzima. Kwa uaminifu ataleta haki, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mwanzi uliopondeka hatauvunja, na utambi unaofuka moshi hatauzima. Kwa uaminifu ataleta haki, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Mwanzi uliopondeka hatauvunja, wala utambi utokao moshi hatauzima; atatoa hukumu kwa uaminifu. Tazama sura |