Isaya 41:5 - Swahili Revised Union Version5 Visiwa vimeona, vikaogopa; ncha za dunia zilitetemeka; walikaribia, walikuja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 “Wakazi wa mbali wameona niliyotenda, wakaogopa; dunia yote inatetemeka kwa hofu. Watu wote wamekusanyika, wakaja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 “Wakazi wa mbali wameona niliyotenda, wakaogopa; dunia yote inatetemeka kwa hofu. Watu wote wamekusanyika, wakaja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 “Wakazi wa mbali wameona niliyotenda, wakaogopa; dunia yote inatetemeka kwa hofu. Watu wote wamekusanyika, wakaja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Visiwa vimeliona na kuogopa, miisho ya dunia inatetemeka. Wanakaribia na kuja mbele, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Visiwa vimeliona na kuogopa, miisho ya dunia inatetemeka. Wanakaribia na kuja mbele, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Visiwa vimeona, vikaogopa; ncha za dunia zilitetemeka; walikaribia, walikuja. Tazama sura |
Ikawa, wafalme wa Waamori, waliokaa ng'ambo ya Yordani pande za magharibi, na wafalme wote wa Wakanaani, waliokuwa karibu na bahari, waliposikia jinsi BWANA alivyoyakausha maji ya Yordani mbele ya wana wa Israeli, hadi tulipokwisha kuvuka, basi mioyo yao iliyeyuka, wala haikuwamo roho ya nguvu ndani yao tena; kwa ajili ya wana wa Israeli.