Isaya 40:8 - Swahili Revised Union Version8 Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Majani hunyauka na ua hufifia, lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Majani hunyauka na ua hufifia, lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Majani hunyauka na ua hufifia, lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Majani hunyauka na maua huanguka, lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Majani hunyauka na maua huanguka, lakini neno la Mungu wetu ladumu milele.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele. Tazama sura |