Isaya 40:22 - Swahili Revised Union Version22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Dunia iliumbwa na huyo aketiye juu ya mbingu; kutoka huko wakazi wa dunia ni kama panzi! Yeye amezitandaza mbingu kama pazia, na kuzikunjua kama hema la kuishi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Dunia iliumbwa na huyo aketiye juu ya mbingu; kutoka huko wakazi wa dunia ni kama panzi! Yeye amezitandaza mbingu kama pazia, na kuzikunjua kama hema la kuishi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Dunia iliumbwa na huyo aketiye juu ya mbingu; kutoka huko wakazi wa dunia ni kama panzi! Yeye amezitandaza mbingu kama pazia, na kuzikunjua kama hema la kuishi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Anakaa kwenye kiti cha utawala juu ya duara ya dunia, nao watu wanaoishi humo ni kama panzi. Huzitandaza mbingu kama chandarua, na kuzitandaza kama hema la kuishi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi. Huzitandaza mbingu kama chandarua, na kuzitandaza kama hema la kuishi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa; Tazama sura |