Isaya 38:7 - Swahili Revised Union Version7 Jambo hili liwe ishara kwako, itokayo kwa BWANA, ya kuwa BWANA atalitimiza jambo hili alilolisema; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Isaya akamjibu, “Hii itakuwa ishara kwako kutoka kwa Mwenyezi-Mungu kwamba Mwenyezi-Mungu atafanya kama alivyoahidi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Isaya akamjibu, “Hii itakuwa ishara kwako kutoka kwa Mwenyezi-Mungu kwamba Mwenyezi-Mungu atafanya kama alivyoahidi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Isaya akamjibu, “Hii itakuwa ishara kwako kutoka kwa Mwenyezi-Mungu kwamba Mwenyezi-Mungu atafanya kama alivyoahidi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 “ ‘Hii ndiyo ishara ya Mwenyezi Mungu kwako kwamba Mwenyezi Mungu atafanya kile alichoahidi: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 “ ‘Hii ndiyo ishara ya bwana kwako ya kwamba bwana atafanya kile alichoahidi: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Jambo hili liwe ishara kwako, itokayo kwa BWANA, ya kuwa BWANA atalitimiza jambo hili alilolisema; Tazama sura |