Isaya 38:6 - Swahili Revised Union Version6 Nami nitakuokoa wewe, na mji huu, kutoka kwa mkono wa mfalme wa Ashuru, nami nitaulinda mji huu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Nitakuokoa wewe pamoja na mji huu mikononi mwa mfalme wa Ashuru na kuulinda.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Nitakuokoa wewe pamoja na mji huu mikononi mwa mfalme wa Ashuru na kuulinda.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Nitakuokoa wewe pamoja na mji huu mikononi mwa mfalme wa Ashuru na kuulinda.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Nami nitakuokoa wewe pamoja na mji huu kutoka mkononi mwa mfalme wa Ashuru. Nitaulinda mji huu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Nami nitakuokoa wewe pamoja na mji huu mkononi mwa mfalme wa Ashuru. Nitaulinda mji huu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Nami nitakuokoa wewe, na mji huu, na mkono wa mfalme wa Ashuru, nami nitaulinda mji huu. Tazama sura |