Isaya 38:21 - Swahili Revised Union Version21 Maana Isaya amesema, Na watwae mkate wa tini, wakauweke juu ya jipu, naye atapona. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Basi, Isaya akasema, “Chukueni andazi la tini mkaliweke kwenye jipu lake, apate kupona.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Basi, Isaya akasema, “Chukueni andazi la tini mkaliweke kwenye jipu lake, apate kupona.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Basi, Isaya akasema, “Chukueni andazi la tini mkaliweke kwenye jipu lake, apate kupona.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Isaya alikuwa amesema, “Tengenezeni dawa ya kubandika ya tini, mweke juu ya jipu, naye atapona.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Isaya alikuwa amesema, “Tengenezeni dawa ya kubandika ya tini, mweke juu ya jipu, naye atapona.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Maana Isaya amesema, Na watwae mkate wa tini, wakauweke juu ya jipu, naye atapona. Tazama sura |