Isaya 34:4 - Swahili Revised Union Version4 Na jeshi lote la mbinguni litafumuliwa, na mbingu zitakunjwa kama karatasi, na jeshi lao lote litanyauka kama vile jani la mzabibu linyaukavyo na kupukutika, na kama jani la mtini linyaukavyo na kupukutika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Jeshi lote la angani litaharibika, anga zitakunjamana kama karatasi. Jeshi lake lote litanyauka, kama majani ya mzabibu yanyaukavyo, naam, kama tunda la mtini linyaukavyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Jeshi lote la angani litaharibika, anga zitakunjamana kama karatasi. Jeshi lake lote litanyauka, kama majani ya mzabibu yanyaukavyo, naam, kama tunda la mtini linyaukavyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Jeshi lote la angani litaharibika, anga zitakunjamana kama karatasi. Jeshi lake lote litanyauka, kama majani ya mzabibu yanyaukavyo, naam, kama tunda la mtini linyaukavyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Nyota zote za mbinguni zitayeyuka na mbingu itakunjwa kama kitabu, jeshi lote la angani litaanguka kama majani yaliyonyauka kwenye mzabibu, kama tini iliyonyauka kwenye mtini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Nyota zote za mbinguni zitayeyuka na anga litasokotwa kama kitabu, jeshi lote la angani litaanguka kama majani yaliyonyauka kutoka kwenye mzabibu, kama tini iliyonyauka kutoka kwenye mtini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Na jeshi lote la mbinguni litafumuliwa, na mbingu zitakunjwa kama karatasi, na jeshi lao lote litanyauka kama vile jani la mzabibu linyaukavyo na kupukutika, na kama jani la mtini linyaukavyo na kupukutika. Tazama sura |