Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Isaya 34:15 - Swahili Revised Union Version

15 Huko bundi atajenga kiota chake na kutaga mayai na kuyaatamia, na kuangua, na kukusanya vifaranga wake katika kivuli chake; naam, huko watakusanyika tai, kila mmoja na mwenzake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Humo bundi watataga mayai na kuyaatamia, wataangua vifaranga na kuviweka kivulini mwao. Humo vipanga watakutania, kila mmoja na mwenzake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Humo bundi watataga mayai na kuyaatamia, wataangua vifaranga na kuviweka kivulini mwao. Humo vipanga watakutania, kila mmoja na mwenzake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Humo bundi watataga mayai na kuyaatamia, wataangua vifaranga na kuviweka kivulini mwao. Humo vipanga watakutania, kila mmoja na mwenzake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Bundi wataweka viota huko na kutaga mayai, atayaangua na kutunza makinda yake chini ya uvuli wa mabawa yake; pia huko vipanga watakusanyika, kila mmoja na mwenzi wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Bundi wataweka viota huko na kutaga mayai, atayaangua na kutunza makinda yake chini ya uvuli wa mabawa yake; pia huko vipanga watakusanyika, kila mmoja na mwenzi wake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Huko bundi atajenga kiota chake na kutaga mayai na kuyaatamia, na kuangua, na kukusanya vifaranga wake katika kivuli chake; naam, huko watakusanyika tai, kila mmoja na mwenzake.

Tazama sura Nakili

Isaya 34:15
2 Marejeleo ya Msalaba  

Huangua mayai ya fira, na kusuka wavu wa buibui; yeye alaye mayai yao hufa, na hilo livunjwalo hutoka nyoka.

na kengewa, na kozi, na mwewe kwa aina zake;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo