Isaya 31:6 - Swahili Revised Union Version6 Mwelekeeni yeye mliyemwasi sana, enyi wana wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Enyi Waisraeli, mrudieni huyo mliyemsaliti vibaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Enyi Waisraeli, mrudieni huyo mliyemsaliti vibaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Enyi Waisraeli, mrudieni huyo mliyemsaliti vibaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mrudieni yeye ambaye nyumba ya Israeli imemwasi sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Mrudieni yeye ambaye nyumba ya Israeli imemwasi sana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Mwelekeeni yeye mliyemwasi sana, enyi wana wa Israeli. Tazama sura |