Isaya 31:5 - Swahili Revised Union Version5 Kama ndege warukao, BWANA wa majeshi ataulinda Yerusalemu; ataulinda na kuuokoa, atapita juu yake na kuuhifadhi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kama ndege arukavyo juu ya viota vyake, ndivyo Mwenyezi-Mungu atakavyoulinda Yerusalemu, ataulinda na kuukomboa, atauhifadhi na kuuokoa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kama ndege arukavyo juu ya viota vyake, ndivyo Mwenyezi-Mungu atakavyoulinda Yerusalemu, ataulinda na kuukomboa, atauhifadhi na kuuokoa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kama ndege arukavyo juu ya viota vyake, ndivyo Mwenyezi-Mungu atakavyoulinda Yerusalemu, ataulinda na kuukomboa, atauhifadhi na kuuokoa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kama ndege warukao, Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni ataukinga Yerusalemu; ataukinga na kuuokoa, atapita juu yake na kuufanya salama.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kama ndege warukao, bwana Mwenye Nguvu Zote ataukinga Yerusalemu; ataukinga na kuuokoa, atapita juu yake na kuufanya salama.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Kama ndege warukao, BWANA wa majeshi ataulinda Yerusalemu; ataulinda na kuuokoa, atapita juu yake na kuuhifadhi. Tazama sura |