Isaya 3:4 - Swahili Revised Union Version4 Nami nitawapa watoto kuwamiliki, na watoto wachanga kuwatawala. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mungu ataweka watoto wawatawale; naam, watoto wachanga watawatawala. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mungu ataweka watoto wawatawale; naam, watoto wachanga watawatawala. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mungu ataweka watoto wawatawale; naam, watoto wachanga watawatawala. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Nitawafanya wavulana wawe viongozi wao; watoto ndio watakaowatawala. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Nitawafanya wavulana wawe maafisa wao, watoto ndio watakaowatawala. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Nami nitawapa watoto kuwamiliki, na watoto wachanga kuwatawala. Tazama sura |