Isaya 3:3 - Swahili Revised Union Version3 jemadari aliye juu ya watu hamsini, na mtu mstahifu, na mshauri, na fundi aliye stadi, na mganga ajuaye uganga sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 majemadari wa vikosi vya watu hamsini, na watu wenye vyeo, washauri, wachawi stadi na walozi hodari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 majemadari wa vikosi vya watu hamsini, na watu wenye vyeo, washauri, wachawi stadi na walozi hodari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 majemadari wa vikosi vya watu hamsini, na watu wenye vyeo, washauri, wachawi stadi na walozi hodari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 jemadari wa kikosi cha watu hamsini na mtu mwenye cheo, mshauri, fundi stadi na msihiri mjanja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 jemadari wa kikosi cha watu hamsini na mtu mwenye cheo, mshauri, fundi stadi na mlozi mjanja. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 jemadari aliye juu ya watu hamsini, na mtu mstahifu, na mshauri, na fundi aliye stadi, na mganga ajuaye uganga sana. Tazama sura |