Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Isaya 3:13 - Swahili Revised Union Version

13 BWANA asimama ili atete, asimama ili awahukumu watu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Mwenyezi-Mungu yu tayari kuanza mashtaka, anasimama kuwahukumu watu wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Mwenyezi-Mungu yu tayari kuanza mashtaka, anasimama kuwahukumu watu wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Mwenyezi-Mungu yu tayari kuanza mashtaka, anasimama kuwahukumu watu wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Mwenyezi Mungu anachukua nafasi yake mahakamani, anasimama kuhukumu watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 bwana anachukua nafasi yake mahakamani, anasimama kuhukumu watu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

13 BWANA asimama ili atete, asimama ili awahukumu watu.

Tazama sura Nakili




Isaya 3:13
12 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa ajili ya kuonewa kwao wanyonge, Kwa ajili ya kuugua kwao wahitaji, Sasa nitasimama, asema BWANA, Nitamweka salama yeye wanayemfyonya.


Ee Mungu, usimame, ujitetee mwenyewe, Ukumbuke unavyotukanwa na mpumbavu mchana kutwa.


Mungu asimama katika kusanyiko la Mungu; Katikati ya miungu anahukumu.


Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama damu, zitakuwa kama sufu.


BWANA, Bwana wako na Mungu wako, awateteaye watu wake, asema hivi, Tazama, nimeondoa mkononi mwako kikombe cha kulevyalevya, hilo bakuli la hasira yangu; hutalinywea tena;


Kwa maana BWANA atatoa hukumu kwa watu wote kwa moto, na kwa upanga wake, nao watakaouawa na BWANA watakuwa wengi.


Mataifa na wajihimize, wakapande juu katika bonde la Yehoshafati; maana huko ndiko nitakakoketi niwahukumu mataifa yote yaliyo pande zote.


Basi sasa, sikieni asemavyo BWANA; Simama, ujitetee mbele ya milima, vilima navyo na visikie sauti yako.


Sikieni, enyi milima, shutuma ya BWANA, na ninyi, enyi misingi ya dunia iliyo imara; kwa maana BWANA ana shutuma na watu wake, naye atahojiana na Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo