Isaya 28:14 - Swahili Revised Union Version14 Basi, lisikieni neno la BWANA, enyi watu wenye dharau, mnaowatawala watu hawa walio ndani ya Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Basi, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wenye madharau mnaotawala watu wa Yerusalemu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Basi, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wenye madharau mnaotawala watu wa Yerusalemu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Basi, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wenye madharau mnaotawala watu wa Yerusalemu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kwa hiyo sikieni neno la Mwenyezi Mungu, enyi watu wenye dharau mnaotawala watu hawa wa Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kwa hiyo sikieni neno la bwana, enyi watu wenye dharau mnaotawala watu hawa wa Yerusalemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Basi, lisikieni neno la BWANA, enyi watu wenye dharau, mnaowatawala watu hawa walio ndani ya Yerusalemu. Tazama sura |