Isaya 27:4 - Swahili Revised Union Version4 Mimi sina hasira ndani yangu; Kama mbigili na miiba ingekuwa mbele zangu, Ningepanga vita juu yake, Ningeiteketeza yote pamoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Silikasirikii tena shamba hili; kama miiba na mbigili ingelilivamia, mimi ningepambana nayo na kuichoma moto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Silikasirikii tena shamba hili; kama miiba na mbigili ingelilivamia, mimi ningepambana nayo na kuichoma moto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Silikasirikii tena shamba hili; kama miiba na mbigili ingelilivamia, mimi ningepambana nayo na kuichoma moto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mimi sijakasirika. Laiti michongoma na miiba ingenikabili! Ningepambana dhidi yake katika vita, ningeichoma moto yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mimi sijakasirika. Licha pangekuwepo michongoma na miiba kunikabili! Ningepambana dhidi yake katika vita, ningeliichoma moto yote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Mimi sina hasira ndani yangu; Kama mbigili na miiba ingekuwa mbele zangu, Ningepanga vita juu yake, Ningeiteketeza yote pamoja. Tazama sura |