Isaya 27:3 - Swahili Revised Union Version3 Mimi, BWANA, nililinda, Nitalitia maji kila dakika, Asije mtu akaliharibu; Usiku na mchana nitalilinda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mimi, Mwenyezi-Mungu, ni mkulima wake; nalimwagilia maji kila wakati, ninalilinda usiku na mchana, lisije likaharibiwa na mtu yeyote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mimi, Mwenyezi-Mungu, ni mkulima wake; nalimwagilia maji kila wakati, ninalilinda usiku na mchana, lisije likaharibiwa na mtu yeyote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mimi, Mwenyezi-Mungu, ni mkulima wake; nalimwagilia maji kila wakati. ninalilinda usiku na mchana, lisije likaharibiwa na mtu yeyote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mimi, Mwenyezi Mungu, ninalitunza, ninalinywesha maji mfululizo. Ninalichunga usiku na mchana ili mtu yeyote asije akalidhuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mimi, bwana, ninalitunza, nalinyweshea maji mfululizo. Ninalichunga usiku na mchana ili mtu yeyote asije akalidhuru. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Mimi, BWANA, nililinda, Nitalitia maji kila dakika, Asije mtu akaliharibu; Usiku na mchana nitalilinda. Tazama sura |